ScalpKings Fx Learning Cycle
Mwanafunzi wetu wa forex anapitia katika hatua zifuatazo:
- Mwanafunzi anafundishwa strategies zinazotumika katika forex
- Mwanafunzi anafuatisha analysis anazofanya forex expert (mentor)
- mwanafunzi anafanya practice huku akisimamiwa na expert (mentor)
- Kwa support na guidance zetu, mwanafunzi anaanza ku trade Fx market
- Trader mpya anapata "lifetime mentorship" kuongeza skills na kuwa expert
When you stop learning, You start losing