Oops!
Access Denied
You need to subscribe to ScalpkingsFX Training Series inorder to view this tutorial. If you have already subscribed to this service, Please LOGIN to continue watching.
Discussion ya kwenye webinar hii ni juu ya kuhesabu na ku calculate pips kwenye pair tofauti tofauti pamoja na namna ya ku place aina zote za orders kwenye forex market kwa kutumia platform ya MetaTrader 4. Kama hukuelewa vizuri vitu hivi kwenye beginners class basi hapa utajifunza kiundani zaidi na kwa mifano halisi
Webinar Replays Lectures
-
Trainer Profile
Mussa Sabayo
Mentor | Signal Provider | Market Analyst











emmanuel mwacha
2022-01-03 04:24:50
teacher hivi ni kigezo gani unaangalia kuchagua hizo pips 30 au unakadiria tu? kwenye kuset TP na SL
Scalp King
Jan 3, 2022 | 15:51:49
Una set TP na SL kutokana na analysis pamoja na strategy husika unayotumia ku trade. Mfano una trade kwa trend basi SL na TP una set kutokana na Highs pamoja na Lows za kwenye hiyo trend. Kama una Trade kwa strategy mfano Daily cande strategy basi SL unaweka kwenye price ambapo candle iliyopita ilipofungukia. Angalia kwenye tutorial za analysis utaona namna stop loss zinapowekwa
Thomas Emmanuel
2021-06-18 18:41:10
Ss mwl sorry lakin Kuna vitu vinanitatiza kwenye maswala ya pips mchana nilikiwa na trade gold kwny demo lkn Sio real account nikaenda mpaka kwny faida ya 500 nikiwa natumia lot size ya 0.01 kule juu imeniandikia 500USD Na nlivo funga trade nayo ikaniandikia profit ni 500 USD ss swali langu n, hizo 500 USD n pips au ni faida ambayo nimeipata au baad ya kipata hyo 500usd ndo nazidisha n hyo lot size napata faida? Au inakuaje..
Scalp King
Jun 18, 2021 | 19:24:47
Hizo zinazoandikwa kwa juu zinakuwa ni dollar moja kwa moja, imekwisha zidisha lotsize unayotumia na pips ulizopata automatically
Thomas Emmanuel
Jun 18, 2021 | 19:35:56
Kwa hyo hats kwenye real account n hivyo hivyo? Au kwenye real unapewa pips unazidisha n lot size unapata profit yko?