Webinar Replays / Webinar 7 - Stop Loss and Take Profit Targets
Oops!
Access Denied
You need to subscribe to ScalpkingsFX Training Series inorder to view this tutorial. If you have already subscribed to this service, Please LOGIN to continue watching.
Webinar hii tumeongelea vigezo vikuu vitatu unavyotakiwa kuvizingatia wakati wa kuchagua ni wapi unapaswa uweke stop loss na wapi uweke take profit.
Webinar Replays Lectures
11
-
Trainer Profile
Mussa Sabayo
Mentor | Signal Provider | Market Analyst











israel Wikech
2021-08-23 22:26:36
Nina changamoto: Kwenye Demo account yangu, nikifungua position ya pending orders yoyote ile, orders zangu zote hazifanyi activation/triggering zinapofika kwenye targets zangu (TP). But upande wa SL naona huko activation inafanyika na natolewa lakini kwenye TP, candle inaclose na sioni sign yoyote ile ya Profit. So nakosea nini hapa? Thanks.
Scalp King
Aug 24, 2021 | 04:49:50
Price ikifika kwenye target yako yeyote ile ya profit (TP) au loss (SL) order inatakiwa i close. Price inapokuwa inatembea Hua kuna mistari miwili inaonekana yaani price mbili Bid price (mstari wa chini) na Ask price (mstari wa juu) so order ya ku buy inatakiwa i close kama Ask price ikifikia kwenye target yako na sio Bid price na order ya ku sell inatakiwa i close kama Bid price ikifikia kwenye target yako. Hiyo order unayosema haija close unakuta price inayotakiwa kuiclose haikufika hapo na mara nyingi unakuta spread ikiwa kubwa but ikifika lazima order i close
israel Wikech
2021-08-09 19:39:11
....hapa sipo clear kabisa! Kwa hiyo the recommended stop loss (Risk) kwa lot size yoyote ile ni not more than 5%?? Au inategemea na lot size? If so, which lot size is recommended for risking 5% of margin? Mwal, bado siielewi unapotaka kufanya mult trading (more than one pair) kwa certain lot size, inakuwaje?....i.e. how do you split it? Ufafanuzi Plse! Thanks!
Scalp King
Aug 9, 2021 | 19:51:14
Ye recommended risk is not more than 5% kwa lotsize yeyote ile utakayoamua kutumia. mfano account yako ina $100 so 5% ya hiyo $100 ni $5 kwaiyo unatakiwa uangalie hiyo trade unayotaka ku place una risk pips ngapi then ndo uje kuchagua lotsize ambayo ukipoteza hizo pips utakua umepoteza hiyo dollar 5 tu mfano unaweka stop loss umbali wa pips 50 so lotsize ya kutumia ili hiyo trade iki hit stop loss uwe umepoteza $5 tu ni 0.01 but kama utaweka stop loss umbali wa pips 25 basi ili upoteze dollar 5 unatumia lotsize ya 0.02. kwa kifupi unatakiwa uangalie lotsize unayotumia na pips unazo risk hasara utakayopata isizidi 5% ya margin yako. kama hiyo hesabu inakuchanganya basi tumia calculator yetu ya forex kwenye menu yako. Pili ukitaka kufanya multiple trading then hakikisha kila trade haizidi hiyo 5% na in total ya trades zote zisizidi 25% ya margin yako which means unaweza place trade up to 5 positions at once