You need to subscribe to ScalpkingsFX Training Series inorder to view this tutorial.
If you have already subscribed to this service, Please LOGIN to continue watching.
Kuna aina zaidi ya 10 ya jinsi ya kutafsiri ama kuonyesha mabadiliko ya price kwenye mfumo wa charts. Katika Tutorial hii utaenda kujifunza aina kuu 3 ya charts za Forex (Line chart, Bar chart na Candlestick chart). Tutaangalia ni jinsi gani mabadiliko ya price yanavyotokea katika mfumo wa charts. Analysis zote za mabadiliko ya price hufanyika katika mfumo wa charts hivyo basi tutorial hii inajenga msingi wetu wa kuanza kufanya analysis kwenye soko la fedha. Aina nyingine za charts ni kama vile Heiken ashi chart, Renko Chart, Baseline chart na Kagi chart japo sio chart ambazo mara nyingi zinatumika
1 Comment(s)
Thomas Emmanuel
2021-06-16 23:52:38
Ukweli uko wapi? Wakati natrade demo kuna sku nakumbka nlishawahi kutrade nkawa kwenye lose ya dollar 480 ilikuwa asubh mida y sa4 nlipo trade ikaenda ikawa inachezea hapo hapo kesho yake naamka asbh nafungua mt4 nakuta ipo kwenye profit ya 500 na kitu....1 vipi kwenye really account iko kitu kinawezekana? 2 kunamtu aliniambia order ikilala broker kuna fedha anakata kwenye account yko n kwel? 3 kwa mfano Nina account y Dolla let say 400 nikaplace trade ikawa ipo kweny lose inachezea kwenye100 kurudi chini je n muda gani naweza iacha Hadi pale soko litakapo geuka upande wng ?
1.Account kwenda kwenye hasara ya $480 na kurudi kwenye profit ni swala linalowezekana kabisa as maana price always inaenda juu na chini as long as itaenda kwenye hasara ambayo haitafikia balance ya account yako. Unakuta mtu ana account ya $100 ikienda kwenye hasara tu ya kufikia hiyo $100 trade inajifunga so hata ikija kurudi unakuta ameshapoteza hela zote na hayupo tena kwenye trade, ukiwa unafanya demo jaribu kutumia account yenye balance sawa na dollar utakazokuja kuanza nazo kwenye real maana unachofanya kwenye demo ndicho icho icho kitafanyika kwenye real.
2.Yes order ikilala kuna commission ambayo inakuwa charged japo ni ndogo sanaa wala isikuumize kichwa maana unaweza kuta unachajiwa kwanzia $0.20 hadi $1 kutokana na lotsize ulitumia
3.trade ikiwa kwenye hasara unaweza iacha hata mwaka mzima hadi itakaporudi kwenye upande wako as long as haitafikia hasara ya hiyo balance yako ya $400 maana ikifika hapo itajifunga yenyewe
Advanced Class Lectures
19
Katika Tutorial hii utajifunza namna ya kutumia Tradingview ambayo ni moja ya platform kubwa inayotumika na traders wengi katika kufanya analysis pamoja na ku share experience katika masoko mbalimbali.
Kuna aina zaidi ya 10 ya jinsi ya kutafsiri ama kuonyesha mabadiliko ya price kwenye mfumo wa charts. Katika Tutorial hii utaenda kujifunza aina kuu 3 ya charts za Forex (Line chart, Bar chart na Candlestick chart). Tutaangalia ni jinsi gani mabadiliko ya price yanavyotokea katika mfumo wa charts. Analysis zote za mabadiliko ya price hufanyika katika mfumo wa charts hivyo basi tutorial hii inajenga msingi wetu wa kuanza kufanya analysis kwenye soko la fedha. Aina nyingine za charts ni kama vile Heiken ashi chart, Renko Chart, Baseline chart na Kagi chart japo sio chart ambazo mara nyingi zinatumika
Kwenye Tutorial hii utaenda kujifunza aina moja ya candlestick inayofahamika kama SHAVEN CANDLE. Utajifunza namna ya kuitambua kwenye charts zako na pia inakuonyesha ishara gani ikitokea. Pia, utajifunza ni kitu gani unatakiwa kukifanya baada ya candle hii kutokea. Shaven candle ikitokea kwenye charts zako ni moja ya confirmation kubwa sanaa inayoonyesha uelekeo wa price.
Kwenye Tutorial hii utaenda kujifunza aina moja ya candlestick inayofahamika kama DOJI. Utajifunza namna ya kuitambua kwenye charts zako na pia inakuonyesha ishara gani ikitokea. Pia, utajifunza ni kitu gani unatakiwa kukifanya baada ya doji candlestick kutokea
Kwenye Tutorial hii utaenda kujifunza aina mbili za candlestick zinazofahamika kama Hammer pamoja na hanging man Candlesticks. Utajifunza namna ya kuzitambua kwenye charts zako na pia zinakuonyesha ishara gani zikitokea. Pia, utajifunza ni kitu gani unatakiwa kukifanya baada ya kutokea kwenye chart yako na kwenye timeframe yeyote ile
Hizi ni aina ya candlesticks zinazokuonyesha mabadiliko ya uelekeo wa soko. Ukiweza kuzitambua kwa usahihi utakuwa na uwezo wa kuingia sokoni mapema zaidi
Lecture hii inafundisha juu ya aina mbili za candlesticks (Bullish Engulfing candle na Bearish Engulfing candle). Candles hizi huwa ni kiashiria kikubwa sanaa cha badiliko la price kutoka upande mmoja kuelekea upande mwingine. Kwa wale forex traders wanaofanya trades za muda mfupi (scalping), kama mimi, hutumia candles hizi kama kiashiria chao cha kuingia na kutoka sokoni na faida kwa muda mfupi sanaa.
Katika Lecture hii utajifunza namna ya kutambua uelekeo wa soko la fedha linalo trend kwenda JUU (Bullish Market au Up-Trend). Soko la fedha (forex) muda wote linakua lina trend kuelekea upande flani na unapofanikiwa tu kutambua uelekeo wa jumla wa soko basi hiyo trade ni sawa na umekwisha win kwa 90%. Watu wengi wanapata hasara kwenye biashara ya forex kwa kuweka trades zilizo kinyume na uelekeo wa jumla wa soko na wanabaki kwa matumaini ya price kurudi upande wao bila kuwa na sababu za msingi. Hivyo, kwenye tutorial hii utajifunza kuitambua aina moja ya trend (uptrend) na nini cha kufanya kwenye uptrend forex market
Katika Lecture hii utajifunza namna ya kutambua uelekeo wa soko la fedha linalo trend kwenda CHINI (Bearish Market au Down-trend) ikiwa ni aina ya pili ya trends za forex market. Ukifanikiwa kutambua Soko la fedha linalo trend kwenda chini na ukaingia sokoni kama seller katika price yeyote ile iliyopo sokoni basi hiyo trade ni sawa na umekwisha win kwa 90%. Watu wengi wanapata hasara kwenye biashara ya forex kwa kuweka trades zilizo kinyume na uelekeo wa jumla wa soko na wanabaki sokoni kwa matumaini ya price kurudi upande wao bila kuwa na sababu za msingi. Hivyo, kwenye tutorial hii utajifunza kuitambua aina ya pili ya trend (Down-Trend) na nini cha kufanya kwenye Down trend forex market.
Katika Lecture hii utajifunza namna ya kutambua soko la fedha ambalo limejikusanya sehemu moja (consolidated market) ikiwa ni aina ya tatu ya trends za forex market. Soko lililojikusanya sehemu moja mara nyingi hua halina opportunity ya kutengeneza profits kubwa kama soko linaloenda juu (uptrend) au linaloenda chini (downtrend) maana kunakua hakuna mabadiliko makubwa ya price. Kwenye hii tutorial utaenda kujifunza namna ya kutambua soko hilo na pia namna ya ku trade soko la namna hiyo
Lecture hii inafundisha juu ya trendlines ambayo ni mistari unayochora kuunganisha trend yako na pia inakupa muongozo wa kujua uelekeo wa price. Utajifunza namna ya kuzichora kwa usahihi, sheria zake pamoja na matumizi yake katika ku trade. Ukifahamu jinsi ya kutumia trendline vizuri basi unakua huna haja ya ku trade kwa kutumia indicator yeyote ile (Naked Trading)
Lecture hii inafudisha juu ya namna ya kutambua zone muhimu ambazo mara nyingi price ikifika hua inashindwa kuzivuka. Maeneo hayo huwa yanajulikana kama support na resistance zones na tunayatambua kwa kuchora support na resistance lines. soko la Forex hua linatabia ya ku trend kutoka zone moja kwenda zone nyingine hivyo unapo tambua hizo zone unakua kwenye position nzuri ya kutambua uelekeo wa soko na ku win trade. Support na Resistance utakazozibainisha kwenye Timeframe kubwa (H4,D1, au Weekly chart) hua zinajulikana kama Major Support na Resistance na zile zinazokua kwenye Timeframe ndogo (5m, 15m, 30m au 1hr) zinajulikana kama Minor Support na Resistance.
Kwenye Tutorial hii tutaenda kujifunza namna ya kutumia Tool inayofahamika kama Fibonacci Retracement.Tool hii inapatikana kwenye platforms za kufanyia Trade na analysis kama vile MetaTrader4, MetaTrader5 na TradingView na inatumika wakati wa ku analyse soko la forex ili kujua ni wapi ununue fedha flani na ni wapi uingie kuuza. Tool hii inatumika tu kwenye soko linalo trend kwenda juu (Uptrend) au linalo trend kwenda chini (Downtrend). Hivyo basi, kama bado ujasoma kuhusu uptrend na sowntrend unapaswa kufanya hivyo kwanza kwa kupitia Lecture 22 na Lecture 23 ndipo uje kusoma namna ya kutumia tool hii.
Lecture hii inafundisha juu ya HEAND AND SHOULDER ambayo ni moja kati ya patterns au michoro inayojitokeza kwenye soko la fedha ambayo inatoa kiashiria cha badiliko la uelekeo wa soko. Head and shoulder zina uhusiano mkubwa sanaa na Market trends na hua zinajitokeza kwenye either downtrend market au Uptrend market hivyo basi nakushauri kupitia kwanza lecture ya uptrend (Lecture 22) na Lecture ya downtrend (Lecture 23) kama bado hujazipitia ndipo uje kuangalia tutorial hii ili twende sambamba.
Lecture hii inafundisha juu ya FLAG ambayo ni moja kati ya patterns au michoro inayojitokeza kwenye soko la fedha ambayo inatoa kiashiria cha uelekeo wa soko. Flags zina uhusiano mkubwa sanaa na Market trends na hua zinajitokeza kwenye either downtrend market au Uptrend market hivyo basi nakushauri kupitia kwanza lecture ya uptrend (Lecture 22) na Lecture ya downtrend (Lecture 23) kama bado hujazipitia ndipo uje kuangalia tutorial hii ili twende sambamba.
Kama ulishawahi kuona kuna uwazi wowote kati ya candlestick moja na nyingine (candlestick haziungani) basi ujue kuna Gap kwenye market. Gaps hizi zinasababishwa na sababu kuu mbili ambazo ni server delays pamoja na weekend transactions. Gaps zinazo jitokeza sokoni kutokana na transactions za weekend huwa ni opportunity kwa sisi retail traders. Katika tutorial hii utaenda kujifunza namna ya ku trade hizi gaps.
Soko la fedha ndilo soko linaloongoza duniani kwa kuwa na mabadiliko ya haraka sana ya price na kulifanya liwe soko kubwa kuliko masoko mengine yote unayoyafahamu. Matukio mbalimbali yanayo hathiri uchumi wa nchi moja kwa moja upelekea mabadiliko haya ya price. Mfano ikatangazwa habari sasaivi kuwa marekani haifanyi tena biashara na japani basi utaona mabadiliko makubwa sana ya price katiya USD pamoja na JPY. Kama ulikua ufahamu kuhusu habari hiyo na ukaendelea ku trade kwa kufata technical analysis zako basi utajikuta unapata hasara ambayo hukutegemea. Kwenye lecture hii utapata kutambua matukio hayo (news) pamoja na namna ya kuyafanya kuwa fursa ya kupata profit.
Kwenye tutoraila hii utajifunza namna ya kufanya scalping kwakutumia indicator inayofahamika kama Relative strength Index ama RSI kwa kifupi. RSI ni moja ya indicator maarufu na inayotumiwa na traders wengi kwenye masoko ya fedha kwa namna mbili. Namna ya kwanza ni Kutambua divergence kwenye soko na namna ya pili ni Kutambua Oversold na Overbought levels. Kwenye tutorial hii tutajifunza namna moja ya kuitumia hii indicator ambayo ni kutambua oversold na overbought levels na namna gani tunaweza kufanya scalping kwenye hizo levels
Katika Lecture hii utajifunza aina tatu za trend (Up Trend, Down Trend na sideways Trend) ikiwa ni jinsi ya kuzitambua moja baada ya nyingine, kujua namna soko linavyobadilika kutoka trend moja kwenda nyingine pamoja na jinsi ya ku trade trend husika
Trainer Profile
Mussa Sabayo
Mentor | Signal Provider | Market Analyst
Thomas Emmanuel
2021-06-16 23:52:38
Ukweli uko wapi? Wakati natrade demo kuna sku nakumbka nlishawahi kutrade nkawa kwenye lose ya dollar 480 ilikuwa asubh mida y sa4 nlipo trade ikaenda ikawa inachezea hapo hapo kesho yake naamka asbh nafungua mt4 nakuta ipo kwenye profit ya 500 na kitu....1 vipi kwenye really account iko kitu kinawezekana? 2 kunamtu aliniambia order ikilala broker kuna fedha anakata kwenye account yko n kwel? 3 kwa mfano Nina account y Dolla let say 400 nikaplace trade ikawa ipo kweny lose inachezea kwenye100 kurudi chini je n muda gani naweza iacha Hadi pale soko litakapo geuka upande wng ?
Scalp King
Jun 17, 2021 | 05:25:30
1.Account kwenda kwenye hasara ya $480 na kurudi kwenye profit ni swala linalowezekana kabisa as maana price always inaenda juu na chini as long as itaenda kwenye hasara ambayo haitafikia balance ya account yako. Unakuta mtu ana account ya $100 ikienda kwenye hasara tu ya kufikia hiyo $100 trade inajifunga so hata ikija kurudi unakuta ameshapoteza hela zote na hayupo tena kwenye trade, ukiwa unafanya demo jaribu kutumia account yenye balance sawa na dollar utakazokuja kuanza nazo kwenye real maana unachofanya kwenye demo ndicho icho icho kitafanyika kwenye real. 2.Yes order ikilala kuna commission ambayo inakuwa charged japo ni ndogo sanaa wala isikuumize kichwa maana unaweza kuta unachajiwa kwanzia $0.20 hadi $1 kutokana na lotsize ulitumia 3.trade ikiwa kwenye hasara unaweza iacha hata mwaka mzima hadi itakaporudi kwenye upande wako as long as haitafikia hasara ya hiyo balance yako ya $400 maana ikifika hapo itajifunga yenyewe