Webinar Replays / Webinar 6 - Deposit and Withdrawal Methods
Oops!
Access Denied
You need to subscribe to ScalpkingsFX Training Series inorder to view this tutorial. If you have already subscribed to this service, Please LOGIN to continue watching.
Kwenye webinar hii tumeongelea juu ya njia tatu rahisi za kufanya malipo kwa brokers na namna unavyoweza kuzitumia kwa ufasaha ili kuhakikisha haupati tatizo wakati wa ku deposit na ku withdrawal kwa brokers
Webinar Replays Lectures
11
-
Trainer Profile
Mussa Sabayo
Mentor | Signal Provider | Market Analyst











Thomas Emmanuel
2021-06-06 10:49:28
Kudepost n withdraw kwa njia ya safaricom line utaratibu ukoje..? Lakini pia nkifungua mfano standard chartered kwenye simu nitawekaje pesa kwenye hyo account yng kwa sisi tuliopo mikoani? La mwsho nkiunguza account nliokuwa nmedepost kwa safaricom line siwez kudepost tena kwa hyo line ?
Scalp King
Jun 6, 2021 | 12:13:44
sasa hivi huitaji ku deposit kwa kutumia line ya safaricom tena maana tayari kuna ma agent wa broker hapa Tanzania ambao unaweza ku deposit na ku withdraw moa kwa moja kupitia mitandao a simu kama Mpesa, Tigopesa na Airtel Money. Fungua account kwa broker anaitwa TEMPLER FX then Ukitaka ku deposit unachagua AGENT TANZANIA kisha unafuata maelekezo wanayokupa