Webinar Replays / Webinar 7 - Stop Loss and Take Profit Targets

Oops!
Access Denied

You need to subscribe to ScalpkingsFX Training Series inorder to view this tutorial. If you have already subscribed to this service, Please LOGIN to continue watching.

Mussa Sabayo
Mentor | Signal Provider | Market Analyst

Webinar hii tumeongelea vigezo vikuu vitatu unavyotakiwa kuvizingatia wakati wa kuchagua ni wapi unapaswa uweke stop loss na wapi uweke take profit.

2 Comment(s)

israel Wikech

2021-08-23 22:26:36

Nina changamoto: Kwenye Demo account yangu, nikifungua position ya pending orders yoyote ile, orders zangu zote hazifanyi activation/triggering zinapofika kwenye targets zangu (TP). But upande wa SL naona huko activation inafanyika na natolewa lakini kwenye TP, candle inaclose na sioni sign yoyote ile ya Profit. So nakosea nini hapa? Thanks.

REPLIES (1)

Scalp King

 

Aug 24, 2021 | 04:49:50

Price ikifika kwenye target yako yeyote ile ya profit (TP) au loss (SL) order inatakiwa i close. Price inapokuwa inatembea Hua kuna mistari miwili inaonekana yaani price mbili Bid price (mstari wa chini) na Ask price (mstari wa juu) so order ya ku buy inatakiwa i close kama Ask price ikifikia kwenye target yako na sio Bid price na order ya ku sell inatakiwa i close kama Bid price ikifikia kwenye target yako. Hiyo order unayosema haija close unakuta price inayotakiwa kuiclose haikufika hapo na mara nyingi unakuta spread ikiwa kubwa but ikifika lazima order i close

israel Wikech

2021-08-09 19:39:11

....hapa sipo clear kabisa! Kwa hiyo the recommended stop loss (Risk) kwa lot size yoyote ile ni not more than 5%?? Au inategemea na lot size? If so, which lot size is recommended for risking 5% of margin? Mwal, bado siielewi unapotaka kufanya mult trading (more than one pair) kwa certain lot size, inakuwaje?....i.e. how do you split it? Ufafanuzi Plse! Thanks!

REPLIES (1)

Scalp King

 

Aug 9, 2021 | 19:51:14

Ye recommended risk is not more than 5% kwa lotsize yeyote ile utakayoamua kutumia. mfano account yako ina $100 so 5% ya hiyo $100 ni $5 kwaiyo unatakiwa uangalie hiyo trade unayotaka ku place una risk pips ngapi then ndo uje kuchagua lotsize ambayo ukipoteza hizo pips utakua umepoteza hiyo dollar 5 tu mfano unaweka stop loss umbali wa pips 50 so lotsize ya kutumia ili hiyo trade iki hit stop loss uwe umepoteza $5 tu ni 0.01 but kama utaweka stop loss umbali wa pips 25 basi ili upoteze dollar 5 unatumia lotsize ya 0.02. kwa kifupi unatakiwa uangalie lotsize unayotumia na pips unazo risk hasara utakayopata isizidi 5% ya margin yako. kama hiyo hesabu inakuchanganya basi tumia calculator yetu ya forex kwenye menu yako. Pili ukitaka kufanya multiple trading then hakikisha kila trade haizidi hiyo 5% na in total ya trades zote zisizidi 25% ya margin yako which means unaweza place trade up to 5 positions at once

Webinar Replays Lectures

11

    Discussion ya kwenye webinar hii ni juu ya kuhesabu na ku calculate pips kwenye pair tofauti tofauti pamoja na namna ya ku place aina zote za orders kwenye forex market kwa kutumia platform ya MetaTrader 4. Kama hukuelewa vizuri vitu hivi kwenye beginners class basi hapa utajifunza kiundani zaidi na kwa mifano halisi

    Webinar hii ina discuss namna ya kutambua uelekeo wa soko pamoja na hatua za kuchukua pindi unapofahamu soko lipo katika uelekeo fulani. Price muda wote hua inapanda na kushuka kwaiyo unapotambua muda ambao inapanda na muda inaposhuka ndipo utaweza kutengeneza profits katika soko la fedha kwa kufuata uelekeo wa soko katika kipindi hicho.

    Kwenye webinar hii utajifunza namna ya kufanya analysis kwa kutumia candlesticks za aina tatu (Shaven, engulfing candles and railway candles). Ukiitaji ku trade kwa Pure Price Action bila kutumia indicator yeyote ile basi hii ni njia moja wapo itakayoongeza winning rate yako kwenye forex market. Shaven candlestick ni candlestic yenye umuhimu kuliko candlestick ya aina yeyote ile unayoifahamu na inakupa clear signal ya uelekeo wa price katika muda huo

    Webinar hii inaonyesha ni namna gani ya ku analyse market kwa kufuata trend (uelekeo wa soko). Ambapo mwanafunzi anafanya analysis na kurekebishwa na mentor ili kumuongezea ujuzi katika kufanya analysis. Jifunze kutokana na maswali na majibu yanayotolewa kwenye webinar hii

    Discussion ya kwenye webinar hii ni juu ya namna unavyoweza ku manage trade yako inapokuwa kwenye faida na pale unapokuwa kwenye hasara. Ni nini unachotakiwa kufanya ili kupunguza risk zako

    Kwenye webinar hii tumeongelea juu ya njia tatu rahisi za kufanya malipo kwa brokers na namna unavyoweza kuzitumia kwa ufasaha ili kuhakikisha haupati tatizo wakati wa ku deposit na ku withdrawal kwa brokers

    Webinar hii tumeongelea vigezo vikuu vitatu unavyotakiwa kuvizingatia wakati wa kuchagua ni wapi unapaswa uweke stop loss na wapi uweke take profit.

    Webinar hii utajifunza namna ya kuandaa Trading Plan kwakuangalia vitu vitano vya msingi unavyotakiwa kuzingatia wakati wa kuandaa plan yako ya ku trade forex.

    Webinar hii utajifunza namna ya kufanyia mazoezi/majaribio strategy yako yeyote ile kwakutumia price za nyuma (backtesting). Strategy backtesting inasaidia ku plan trades zako bila kuona price ya mbele na hivyo kukuongeza confidence ya ku trade siku price ikifanya kama namna ulivyokuwa uki backtest

    Kwenye webinar hii utajifunza namna ya kufanya analysis kwenye timeframe kubwa then unashuka chini kwenye timeframe ndogo kutafuta entry

    Kwenye webinar hii utajifunza mambo makuu manne unayotakiwa kuyadhibiti ili kuweza ku master saikolojia ya forex market na kuweza kufanya biashara ya forex kama moja ya njia ya kuwekeza na sio kama kucheza michezo ya bahati nasibu.